myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Naenda kuvua hapo...
Mandhari maridadi kabisa..
Uoto wa ASILI huo...
Ankoo, kuna hoteli hii naiona hapa Kyela karibu na Mwakyoma njia ya kwenda Roma inang'ara utadhani meli ya Azam ni ya mkinga gani?98[emoji134]
Mbona utakuwa ulishakusahau Sasa.
Karibu sana.
Ukija njoo Hadi kyela
Sent using Jamii Forums mobile app
Hotel ka meli ya azamu...... mhhhhh hhhhhhhAnkoo, kuna hoteli hii naiona hapa Kyela karibu na Mwakyoma njia ya kwenda Roma inang'ara utadhani meli ya Azam ni ya mkinga gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida...salama?Hi there
Ukiwa umetoka njia panda Ipinda(Nkuyu) ukimaliza tu mbuga chungulia kulia kwako, kuna shule... Ujinga wangu ndio ulianzia hapo kutambulikaKyela pia nitakuja, kuna mtu ananidai huko ila ye yuko Ipinda sio kyela mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama rafikiKama kawaida...salama?
Ankoo, kuna hoteli hii naiona hapa Kyela karibu na Mwakyoma njia ya kwenda Roma inang'ara utadhani meli ya Azam ni ya mkinga gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua mmiliki Ni naniAnkoo, kuna hoteli hii naiona hapa Kyela karibu na Mwakyoma njia ya kwenda Roma inang'ara utadhani meli ya Azam ni ya mkinga gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wanyakyusa wenyewe wasipo simama kwenye unafiki, watakubali kuwa wakinga ndio wameupamba mkoa wa Mbeya na songwe kwa majumba mazuri ya kibiashara na makaziKwani Wanyaki hawana uwezo wa kujenga hoteli kama hiyo mpaka wakinga ?