Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji7][emoji7][emoji7]
Usafiri wa hovyo kabisa yaani basi tu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana..[emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1357316
Mkuu hata mimi nikipanda ndege huwa nawaza mengi mpaka nifike...Usafiri wa hovyo kabisa yaani basi tu....
Kwema kabisa ndugu yangu. Mungu aendelee kutujaalia afya njema na maisha marefu huku upendo ukizidi kutuzunguka.Kwema ndugu yangu? Upendo mwingi kwa dada na wapwa zangu katika siku hii nzuri ya wapendanao [emoji1545][emoji1545]
Siku hizi wazungu wazungu nao wana chura!!