Nini hicho
Nini hicho
Hatujambo....
Green. Tomerlyin
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema kabisa ndugu yangu. Mungu aendelee kutujaalia afya njema na maisha marefu huku upendo ukizidi kutuzunguka.
Mungu aendelee kutulindia na kumkuuza vyema huyo binti yetu ili aje atutunze uzeeni [emoji120]
Ninawaombea kwa Mungu kila lililo jema liwapate sawa sawa na mapenzi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaweza kulala aisee. Ikitikisika tu nshaamka [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1357314