Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema ndugu yangu? Upendo mwingi kwa dada na wapwa zangu katika siku hii nzuri ya wapendanao [emoji1545][emoji1545]
Kwema kabisa ndugu yangu. Mungu aendelee kutujaalia afya njema na maisha marefu huku upendo ukizidi kutuzunguka.
Mungu aendelee kutulindia na kumkuuza vyema huyo binti yetu ili aje atutunze uzeeni [emoji120]
Ninawaombea kwa Mungu kila lililo jema liwapate sawa sawa na mapenzi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…