moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hifadhi zetu.
Karibu Tarangire National park
Karibu Tarangire National park
Yes mpendwa 😀😀😀Kumbe nanyi ni Wahenga[emoji23][emoji23]
Yes mpendwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi pia nimekisoma shairi nilikuwa nalipenda mnoNilisoma kitabu hicho miaka hiyoo nikiwa st 2
Mimi pia nimekisoma shairi nilikuwa nalipenda mno
Wahenga wapi? Kudandia dandia tu na kugugo....Kumbe nanyi ni Wahenga[emoji23][emoji23]
Kitu gani mpendwa?Mbona hujatuma ile kitu
Valentine day yahamia uwanja wa Samora Iringa.
Tukutane huko niwape upendo wangu.[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1358578
Kipindi hicho Mambo yalikua mazuri sana no stress af mapenzi yalikua sio biashara....no condom unapiga dry tuWahenga mpoView attachment 1358585
Wahenga wapi? Kudandia dandia tu na kugugo....
😀😀😀😀Sijagugo ni mhengaWahenga wapi? Kudandia dandia tu na kugugo....
Kitu gani mpendwa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sijagugo ni mhenga
Inasemekana shairi hili lilitungwa na mwalimu mmoja wa Kinyaki (jina nimemsahau). Baada ya shairi kuwa maarufu sana kulikuwa na vuguvugu la kutaka kumtambua mtunzi na kumpa credit. Sijui juhudi hizo zilifikia wapi. Alifariki mwaka juzi/jana...Karudi baba mmoja
Toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja
Na kutetemeka mwili