Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pokea likesJABA NAHABA HUJAZA LIKES
Nipeleke mkuu nikajitwalie mmojababati manyara mbulu huko
Kweli siwezi kumuachia upenyoHata kama hiyo Malaria haijapona sawasawa usikosekane humu. May be Kichwa akipata mwingine ndiyo kidogo utaweza kupumua. Kama unavyoona he is relentless.
Ati nini? Watoto wa shule hawa watakuletea kadi yenye stripper powder tu hakuna lolote. Na kwa nini una-entertain wazo la kuletewa zawadi na mwanaume mwingine wakati mimi nipo?zawadi gani kwanza guzman isije ikawa bomu nkalipuka shimba akanikosa
Pokea likes huku mda tujioneeEti kweli ebitoke na benpol ni wapenz, sio kik kwa pikpik??
Niko poa kamanda. Mbona tunaulizana makabila mkuu? Tunataka kutambika? (in mwl Nyerere's voice)
HahhaahhaahNdiyo shida ya kuwa na mtoto mkali kama Jakitoo. Pengine itabidi nianze utaratibu wa kujipatia pistol kabisa. Ni hatari!
HahahahaUKISTAAJABU YA COMMENT UTAYAONA YA LIKES
Mmakonde utamwomba nn?Kila amahali na sifa zake...!!! Siwezi kumuomba Mmakonde pesa., ntaenda kwa mchaga...!!
Tulia dawa wakubwa zako tufaidi mema ya nchiAti nini? Watoto wa shule hawa watakuletea kadi yenye stripper powder tu hakuna lolote. Na kwa nini una-entertain wazo la kuletewa zawadi na mwanaume mwingine wakati mimi nipo?
Kama ni hivyo basi kaa mbali na Kichwa. Haya mambo ya kumpeleka 77 wakati Cole kalala ya nini tena?Mi nimetulia na Cole mbona?nampenda Cole wangu jaman
TULIA ULAMBE LIKES