samtz1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,197
- 1,372
Zingine zinakuwa hiddenKila mtu ana likes 5 mbona?
Zingine zinakuwa hiddenKila mtu ana likes 5 mbona?
[emoji120]Carbamazepine unajitahidi sana kulike...!! Keep it up...!! Na wengine pia mnajitahid msije nuna kama Numbisa...!!
Ni shida. I will have to lay low. Wewe pekee ndiye uko collected and calm kuhusu issues kama hizi. Cole sijui atakuruhusu uendelee kuwa unatoa ushauri au ndo hivyo tena. Nilishakwambia mara nyingi kuhusu hili japo hujawahi kunijibu au kuni-acknowledge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaweza kukuvizia et?ongeza ulinzi kwa jakitoo na wewe mwenyewe humu ndani watu hawaaminiki
Ndo utaratibu wa app mkuuKila mtu ana likes 5 mbona?
Ivi huu msemo huwa unafanya kazi kweli maana kuna watu hawafichi lakini hawana watoto eti, kama sepengaNa akizaa anazaa tasa
Naelewaa kichwa aka mpenzi mtazamaji.... pole kwa yaliyokukuta ndo ubaya wa kuwa peperuka juuMi mpenzi mtazamaji kwa sasa nadhani unajua hali niliyo nayo kwa sasa
Wamejibu bla bla tu hawaeleweki
Mwanamke kama hataki mwache aende zakeAkikutaa usimbake
Labda ameshajilia zaman kanogew kabisaEeeeh
Wanapendeza shaaa
Hivi si alisema bado yuko B
Ben ameshajilia au anasubiri ndoa?
Kula likesNenda kwenye browser (siyo app) na utaziona zote tunazokumwagia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu lakini naona mashairi yako huwa yanahama hama, ni kama huna msimamo, huoni kama hutaaminikaMkuu kuna mtu anataka kunipiga dagger ya moyo kwa hapo alipogusa kwa sasa.
HahhaahMFICHA COMMENT HAPATI LIKES
Mengine majaaliwa ya molaIvi huu msemo huwa unafanya kazi kweli maana kuna watu hawafichi lakini hawana watoto eti, kama sepenga
Kulq likes zqkoMimi nina karibu miezi mitatu sasa. Mods niliwalalamikia wakapotezea. Nami nimewapotezea tu!
Ahamie kwenye browser/ pc atajionea utitiri wa likesNdo utaratibu wa app mkuu