Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pamoja sana mzeeGo and return bro, ntakucheki tuseme zaidi
Nataman khantwe aulize swali lake daah nimekosa ubuyu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah ngoja nikatafute kungumanga. Wengine tuna macho kama ozilMacho yake tu,akikutizama shida zote ulizonazo unahisi kuzitua
Ili tusiwaombe eti[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1360771
Vizuri mno(mmmh ila sina kautaalamu,hope bro atasaidia jibu)
Mnihakikishie kuwa hamtaniuliza swali lolote[emoji16][emoji16]Vizuri mno(mmmh ila sina kautaalamu,hope bro atasaidia jibu)
Ndo maana nikasema ishu zingine watuachiage akina mimi ambao hatuna heshima inayoweza kuvunjwa [emoji16][emoji16][emoji16]Anaogopa kujishushia heshima
Anaogopa kujishushia heshima
Mbona mnanisemea ninyi watuNdo maana nikasema ishu zingine watuachiage akina mimi ambao hatuna heshima inayoweza kuvunjwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Be free hapa,hatutakuuliza kabisaaa