Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tunasubiria mrejesho broKumbe kweli yamefungwa dah [emoji85][emoji85][emoji85]
Esta na Mishil wakiona hii nimekwisha [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1362278
Tunasubiria mrejesho broKumbe kweli yamefungwa dah [emoji85][emoji85][emoji85]
Esta na Mishil wakiona hii nimekwisha [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1362278
Mgegedwa hakutokea so mechi otomatikale ikaahirishwa [emoji16][emoji16][emoji16]Tunasubiria mrejesho bro
Duh aaahMgegedwa hakutokea so mechi otomatikale ikaahirishwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaha,Marahabaaaaaaa
Hivi unajua next msimu ucl mtakua wapenzi watazamaji tu
Salama bro?Subiri nikazifukue kopi za magazeti yake niyamwage hapa.
Ingawa wengi tunaupenda uhuru wa habari, lakini baadhi yetu tunachupa mipaka.
Uhuru wetu huwa unavamia uhuru wa wengine
Tutaongea na miguu yetu ichape kazi kwa bidiiHahahahahaha,
Ndio inabidi uongee na sisi vizuri😀
Kwani Davet anasemaje.? Kaka![]()
Nje ya 18- kifungo cha Mancity UCL
. Manchester City wamefungiwa kutoshiriki Michuano ya UEFA kwa misimu miwili (2020-2022) na faini ya Euro Million 30 hii inatokana na kukiuka masherti ya kanuni ya Financial Fair Play (FFP) . Sheria hii ilitambulishwa na UEFA ili kusaidia klabu barani Ulaya kuhakikisha mapato ya klabu yaendane...www.jamiiforums.com
Davet The Happiness tutahamia wapi?