Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool ilishindwa kupiga hata shuti moja lililolenga goli dhidi ya ukuta bora wa Atletico. Hii ni mara ya pili kwa Liverpool kushindwa kumjaribu kipa wa timu pinzani tangu Klopp alipoichukua timu hiyo 2015.
Livapuu wachovu tu kumbe. Hata shuti moja? Binti wa Mungu na Mkurugenzi Mkuu wa Utalii na Vito vya Thamani kimyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
ila pia wamezingua sana.... sijafurahishwa na aina yao ya uchezaji soka.
ni muda muafaka kwa atletico madrid kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi.
simeone pumzi yake imekata.
Kipi hakijakuvutia bro? Tico tico sindio wanasifika kwa soccer la kudefence hasa wakikutana na timu kubwa ndio kama walichofanya usiku wa jana
 
Kipi hakijakuvutia bro? Tico tico sindio wanasifika kwa soccer la kudefence hasa wakikutana na timu kubwa ndio kama walichofanya usiku wa jana
ukiondoa huo uwezo wa kujilinda kuna chengine walichonacho kitakachopelekea maadui wajiulize mara mbili juu ya mikakati yao?

wamezingua sana (nilitamani wafunguke ili wapate japo magoli mawili)

uwekezaji mkubwa waliofanya tico tico hawakupaswa wacheze soka la kiwango cha chini......
 
Ingawa kuna madai ya ununuzi kwa baadhi yao, lakini Chadema iangalie kwa kina mwenendo wake.
Kuna mambo hayapo sawa ndani chama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo. Hata kama ni kweli kuna kununuliwa, kuna tatizo mahali katika CHADEMA. Labda ni ugawanaji wa hayo mabilioni ya ruzuku, labda ni mfumo tenge wa madaraka na maamuzi, labda ishu za ukanda, labda....

Huwezi kuwa na chama imara kama kila siku unaondokewa na viongozi wakuu.

Katibu wa chama ndiye mtendaji mkuu na huyu ana siri na mikakati yote. Halafu anahama hivi hivi...Siyo dalili nzuri ila ndiyo siasa zetu....
 
thread bora kwa mwaka 2020 tokea kuanza kwake.....
heshima kwake huyu mdau kwa kutuhabarisha kinachojiri hukooo kwa wachina tambi...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…