ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kocha Jurgen Klopp ameihadhalisha Atletico Madrid wajiandae na mapokezi magumu Anfield kulipa kilichofanywa Wanda Metropolitano wakati Liverpool ikipokea kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.
Mazingira ni jambo muhimu. Usiku huu walitimiza wajibu wao kwa upande wa Atletico, lakini sasa nataka kuweka malengo katika mchezo wa marudiano.
Siasa ni usanii
Haya kiazi hichoPoleni wakulima wote..
Kwa nini iwe sasa kipindi cha uchaguzi.Pesa imeshindwa kununua uhai tu ila kila kitu kinawezekana nasubiri Lissu akiunga mkono juhudiNi kweli, lakini kuna vitu ndani ya Chadema haviko sawa.
Siamini kwamba wote wanaohama chama hicho wana mapenzi ya dhati na CCM.
Uhafidhina ndani chama hicho pia ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefika mpendwa,nashukuru kwa salam zaoHawajambo mpendwa niko nao hapa wanakusalimia.
🙏🙏Zimefika mpendwa,nashukuru kwa salam zao
Mimi ndio mwenye wivu [emoji38][emoji38][emoji38] Hujanikomoa in Harmonize voiceNimeshamuachia aisee ya nini nipigwe makofi na mabaharia wapo wa kumwaga[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app