Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Wakongwe tumebaki wachache!Kwakweli Wanafanana sana kwa sura.
Na ilikuwa kombinesheni ya hatari kwenye timu yao ya taifa, hasa akiwepo na Ronald Koeman na Marco van Basten, Aron Winter, Dennis Bergkamp.
Ilikuwa siyo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tico wanajilinda ila muda wowote wanakuumiza bro tena hatua kama hizi wakishatangulia kupata matokeo kama hayo ndio wanakua hatari zaidi. Pale kwao Liver watataka kushambulia sana lakini pia watakua na wasi wasi wa kuruhusu jamaa wasipate matokeo ugenini.ukiondoa huo uwezo wa kujilinda kuna chengine walichonacho kitakachopelekea maadui wajiulize mara mbili juu ya mikakati yao?
wamezingua sana (nilitamani wafunguke ili wapate japo magoli mawili)
uwekezaji mkubwa waliofanya tico tico hawakupaswa wacheze soka la kiwango cha chini......
Na kwa matokeo haya Atletico tutasonga mbele si ndio bro?Tico wanajilinda ila muda wowote wanakuumiza bro tena hatua kama hizi wakishatangulia kupata matokeo kama hayo ndio wanakua hatari zaidi. Pale kwao Liver watataka kushambulia sana lakini pia watakua na wasi wasi wa kuruhusu jamaa wasipate matokeo ugenini.
Rejea vs Buyern
Rejea vs Barca
Utabiri wangu game ya marudiano Liver 2 vs 1 Atletico. Aggregate 2-2
Hata mimi sikuwa na lengo la kukomoa[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi ndio mwenye wivu [emoji38][emoji38][emoji38] Hujanikomoa in Harmonize voice
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Pendeza sana hapo
Aisee
Wapi hiyo...
Pendeza...