myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa kupeana burudani
Hahahaha inatosha bro,wale watoto hawana adabu jogoo kaliwa na birianiHahah!!!! Lazima atage
Picha la kutisha hapa kuna watu watashindwa kulala leo View attachment 1363248
Tayari hilo bro na hapo bila usaidizi wa VAR huku upande wa pili mambo yangekua magumu basi lingetaga na kutotoaJogoo likitaga ujue limezeeka hadi maini 😀 😀
Safi kabisa Bro. Za siku?Bro Yegomasika salama?
Mikoba ya VAR waliwaazima Man U, naona hawajaichukua bado.Tayari hilo bro na hapo bila usaidizi wa VAR huku upande wa pili mambo yangekua magumu basi lingetaga na kutotoa
Aje hapo eti umesemaje? Jogoo kaliwa Mariam Biriani?Hahahaha inatosha bro,wale watoto hawana adabu jogoo kaliwa na biriani
Salama, Mungu anasaidia.Nimefurahi kusikia u mzima, naamini na shughuli za uvuvi zinaendelea vizuri.Safi kabisa Bro. Za siku?
[emoji23][emoji23]