Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1582055819738.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kama hicho, kama man u mmeshindwa kufanya vizuri na kupata nafasi UCL basi utumikie adhabu ya uzembe/udhaifu wenu.Au la basi ututangazie rasmi kuwa kadi ya man u umeirudisha 😀 😀
Hahahaha jamaniiii. Bado am man u fan tena wa nguvu ila msimu huu bana siwezi kosa cha kushangilia ucl nina cr7,r madrid na liverrrrr
 
Back
Top Bottom