ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
😅😅😅😅 niliona juziMikoba ya VAR waliwaazima Man U, naona hawajaichukua bado.
Hahaha....liver what...???!!Namaanisha liverfools opsss liverpool na real madrid bana hahahahaa
Hahahaha jamaniiii. Bado am man u fan tena wa nguvu ila msimu huu bana siwezi kosa cha kushangilia ucl nina cr7,r madrid na liverrrrrHamna kitu kama hicho, kama man u mmeshindwa kufanya vizuri na kupata nafasi UCL basi utumikie adhabu ya uzembe/udhaifu wenu.Au la basi ututangazie rasmi kuwa kadi ya man u umeirudisha 😀 😀
Hapo kwenye liverrrr unachepuka.Hahahaha jamaniiii. Bado am man u fan tena wa nguvu ila msimu huu bana siwezi kosa cha kushangilia ucl nina cr7,r madrid na liverrrrr
Hehehehe ngumi za anne kali ujue
Mbona ninge na davet wapo atlecoHapo kwenye liverrrr unachepuka.
#bakiNjiaKuu