hatari lakini salama.....
”Niliwahi kutolewa jino Muhimbili nikaamka siku ya pili ICU, lakini pia niliumwa nikiwa Dodoma na kulazwa ICU nilipoamka nikakuta Dk Zainab ananihudumia, kwahiyo Dk Zainab ananijua kila kitu vizuri ingawa mimi simjui yeye”. Rais
@MagufuliJP