Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahaaaa
ndio jifanye ndio wewe ( kuna zawadi yako imeandaliwa)
kitendo cha kumhudumia mtakatifu raisi natabiri huenda utazawadiwa simba mmoja aliyepo burigi chatoo.

unafahamu kila kitu kinachomuhusu muheshimiwa.... kapelekwa ICU ila jina lako hajalisahau....

professor jay = zali la mentali limemtokea zainabu akiwa na stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa nawaza achia mbali muzee baba,bali viben ten na mababa ,mababu wa uzi huu yaani ningewajua huku wao hawanijui aiseee ningeona kila rangi
 
Mwanaume Mmoja alirudi kutoka kazini akamkuta mke wake yuko jikoni anapika mume alimkumbatia na kumpa Busu moto moto. Wakiwa kwenye meza Tayari kwa chakula cha Jioni Mara simu ya mwanamke ilisikika sauti ya mlio wa meseji na ujumbe Huo Ulikuwa umetoka kwa Rafiki yake akimtakia Usiku mwema
 
Mume alipouona na kususia chakula akainuka kimya kimya akaenda kulala. Mke naye hakufurahishwa na Kitendo alichokifanya akajisemea moyoni, Yaani mtu mzima unazira na ujumbe Mdogo Kama Huu Mimi siwezi kukufuata Wewe sio mtoto Mdogo hata kidogo. Mwanamke alikula pekee yake na alipomaliza alienda kulala, walilala kwa kugeuziana Migongo. Usiku wa manane mwanamke alishikwa na homa Kali mwili ulitoka jasho jingi mno.
 
Alishindwa hata kuongea, alipojaribu kumtikisa mume wake bado alikuwa amezira alimsukuma mwanamke mikono yake bila Hata kuongea Neno lolote. Mke aliendelea kuhangaika mwisho akashindwa kupumua na kufariki kwa kiharusi. Asubuhi mume aliamka na kuanza kujiandaa kwenda kazini alimwangalia mke wake amelala Ila alimuona kama amejinyoosha Sana lakini akapotezea akajisemea: staki kuongea naye mpaka atakaponianza . Alivaa nguo akaenda kazini .
 
Wakati wa Mchana alipokuwa anarudi nyumbani aliamua kununua saa nzuri Kama zawadi ya kumrudishia Amani mke wake. Aliwasili nyumbani akiwa na Furaha akiamini mke wake atafurahi pia kwa zawadi aliyomleta na alikuwa amejipanga kwenda kumhakikishia mke wake Kuwa anampenda kwa dhati.
 
Alipofika nyumbani alifungua mlango moja kwa moja akaelekea jikoni alijua Kuwa mke wake atakuwa anapika Kama Kawaida yake ajabu hakumkuta, akaenda chumbani akamkuta mke wake bado amelala kwa staili Ile Ile aliyomuacha Asubuhi. Mume alishtuka Sana na alipomfunua Shuka akagundua mke wake amekufa tangu Asubuhi. Hili ni fundisho hasa kwa wapenzi Mnachukizana kwa vitu vidogo vidogo na kusahau upendo mema mliyofanyiana siku nyingi.
 
Mwanaume Mmoja alirudi kutoka kazini akamkuta mke wake yuko jikoni anapika mume alimkumbatia na kumpa Busu moto moto. Wakiwa kwenye meza Tayari kwa chakula cha Jioni Mara simu ya mwanamke ilisikika sauti ya mlio wa meseji na ujumbe Huo Ulikuwa umetoka kwa Rafiki yake akimtakia Usiku mwema . Mume alipouona na kususia chakula akainuka kimya kimya akaenda kulala. Mke naye hakufurahishwa na Kitendo alichokifanya akajisemea moyoni, Yaani mtu mzima unazira na ujumbe Mdogo Kama Huu Mimi siwezi kukufuata Wewe sio mtoto Mdogo hata kidogo. Mwanamke alikula pekee yake na alipomaliza alienda kulala, walilala kwa kugeuziana Migongo. Usiku wa manane mwanamke alishikwa na homa Kali mwili ulitoka jasho jingi mno. Alishindwa hata kuongea, alipojaribu kumtikisa mume wake bado alikuwa amezira alimsukuma mwanamke mikono yake bila Hata kuongea Neno lolote. Mke aliendelea kuhangaika mwisho akashindwa kupumua na kufariki kwa kiharusi. Asubuhi mume aliamka na kuanza kujiandaa kwenda kazini alimwangalia mke wake amelala Ila alimuona kama amejinyoosha Sana lakini akapotezea akajisemea: staki kuongea naye mpaka atakaponianza . Alivaa nguo akaenda kazini . Wakati wa Mchana alipokuwa anarudi nyumbani aliamua kununua saa nzuri Kama zawadi ya kumrudishia Amani mke wake. Aliwasili nyumbani akiwa na Furaha akiamini mke wake atafurahi pia kwa zawadi aliyomleta na alikuwa amejipanga kwenda kumhakikishia mke wake Kuwa anampenda kwa dhati. Alipofika nyumbani alifungua mlango moja kwa moja akaelekea jikoni alijua Kuwa mke wake atakuwa anapika Kama Kawaida yake ajabu hakumkuta, akaenda chumbani akamkuta mke wake bado amelala kwa staili Ile Ile aliyomuacha Asubuhi. Mume alishtuka Sana na alipomfunua Shuka akagundua mke wake amekufa tangu Asubuhi. Hili ni fundisho hasa kwa wapenzi Mnachukizana kwa vitu vidogo vidogo na kusahau upendo mema mliyofanyiana siku nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa nawaza achia mbali muzee baba,bali viben ten na mababa ,mababu wa uzi huu yaani ningewajua huku wao hawanijui aiseee ningeona kila rangi
daktari wewe hunifai...
daktari wewe unapaswa ufyekelewe mbali
daktari wewe unataka kumfahamu kiundani babu shimbaaaaaa, babu moudiiiiiii, babu myoyaaaaa...

ben ten davetiiiiiiii.


mimi mkorea acha nitibiwe na muarobaini treeee
 
Back
Top Bottom