myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeSifaidiki na picha yangu inayotembea Duniani koteView attachment 1363424
AiseeSifaidiki na picha yangu inayotembea Duniani koteView attachment 1363424
Safiii
Hahaha acha hizo mpendwaHaki vijana hii misamiati yenu inanipa tabu mhenga kujua nini una maanisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanamshangaa..
Baharia anakula za uso lakini hajakata tamaa [emoji16][emoji16]
View attachment 1364154
Hahaha wanasemaga kuna wakati mchepuko unasumbua hadi unatamani kumuomba ushauri mkeo.
Huyu tumeshamchoka bro, toka kapigwa chini hana jipya tena,anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wananchi kuwa bado yupo vizuri..
Nilianza kumdharau baada ya kuanza kupost watu anaowapa msaada..
Halafu Wanyiramba hatuna majina ya namna hyo, sijui Mwigulu Nchemba, hili jina anajua alipolitoaView attachment 1364206
Mambo yanakwenda kasi sana wallahi