Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulichoulizwa na ulichojibu tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoulizwa na ulichojibu tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo...
Tujaribu kuzijali hisia za mtu,wengine ni tiba zetu kwa kuziangalia picha za wanyama, milima, maji ( moudgulf). Maneno ya faraja kama:- usiku wa uji, poleni wasafiri, usiku wa pipi ( myoyambendi).Mambo ya habari mchanganyiko hasa burudani na mitindo ya kunyoa kiduku,kipara mzunguko sehemu za siri,matumizi ya konokono, mlonge ( binti mpole).Mambo ya picha za wasichana wazuri na warembo wenye staha ( Mpendwa na Beef Lasagna).Tukiitwa na tusipo itika kutwangwa shwaini wote ( Khantwe).Sasa hizi starehe za madude dude ya haja yenye kuleta tiba ya ubongo ulio changanyikana kwa vurugu za mabinti wembamba ( kivuruge) naomba mtuachie... mfilisti, ho chi minh, SHIMBA YA BUYENZE au hata mimi niwemo tu, mtuachie tuinjoike...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…