Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Happy Fryyy iii day to you all.
Mimi sio mchungaji au sheikh 😀😀Alitufungisha ndoa...mahari ukapokea wewe
KhaaaKabila letu hatuamkiani, tunaishia salaam tu.
Nikikuamkia nitagombana na mizimu ya kwetu[emoji23][emoji23]
Ankoo mbona unataka kuifanya iwe kesi kubwa wakati tupo tunaongea tu. In fact hili ndilo jibu alitakiwa kutoa muuliza swali. Ila msianze kusema nawapangia majibu [emoji16]Ankoo...
Tujaribu kuzijali hisia za mtu,wengine ni tiba zetu kwa kuziangalia picha za wanyama, milima, maji ( moudgulf). Maneno ya faraja kama:- usiku wa uji, poleni wasafiri, usiku wa pipi ( myoyambendi).Mambo ya habari mchanganyiko hasa burudani na mitindo ya kunyoa kiduku,kipara mzunguko sehemu za siri,matumizi ya konokono, mlonge ( binti mpole).Mambo ya picha za wasichana wazuri na warembo wenye staha ( Mpendwa na Beef Lasagna).Tukiitwa na tusipo itika kutwangwa shwaini wote ( Khantwe).Sasa hizi starehe za madude dude ya haja yenye kuleta tiba ya ubongo ulio changanyikana kwa vurugu za mabinti wembamba ( kivuruge) naomba mtuachie... mfilisti, ho chi minh, SHIMBA YA BUYENZE au hata mimi niwemo tu, mtuachie tuinjoike... View attachment 1364590
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzima kabisa, ila mimi sio mrembo ni m'bibiNipo mrembo!!
Mambo vipi? U mzima huko?