andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ankoo...Maisha ni rahisi sana hapa, kila mtu anapost apendacho hata mtu akikuuliza si kwa ubaya kiasi tufike hadi kuambiwa tubonyeze ignoa listi[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ukiziona hizo picha zinavutia au sio.
Namaanisha kwa sisi tunavyo zisifia kwa upendo bila masimango...
#badonatetearahayanafsiyangu
Sent using Jamii Forums mobile app