Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1582268220171.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoza kwa paa
Unapaswa kutambua kuwa kila kilichoumbwa kina mwisho, ndivyo ilivyo hata kwenye majengo, kila aina ya malighafi iliyotumika hufika mwisho wake kwa wakati tofauti kulingana na ubora na namna yalivyotumika katika ujenzi. Kuoza kwa paa hutegemea ubora na aina ya malighafi zilizotumika bila kusahau na kimo cha mwinuko wa paa hilo. Paa huathiriwa na hali ya mazingira ya eneo husika, mfano paa zilizopo ukanda wa pwani huthiriwa na chumvichumvi zinazobebwa na mikondo ya upepo uvumao kutoka baharini hali inayosababisha paa kuoza haraka, pia hali ya mwinuko ukiwa mdogo husadia paa kuhifadhi takataka mbalimbali ikiwemo majani ya mimea, hali hii ya uchafu kukaa muda mrefu huozesha paa haraka. Unapaswa kuweka paa lenye ubora kulingana na mazingira halisi. Inasikitisha kuona hadi leo hii bado kuna nyumba za serikali zimeezekwa vigae vya asbestos ambavyo ni hatari na vimepigwa marufuku kwa matumizi ya binadamu.
👍 👍
 
NDIO basi tena! Ndiyo neno rahisi unaloweza kulitumia baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa straika tegemeo wa Manchester United, Marcus Rashford atakaa nje ya uwanja hadi mwishoni mwa msimu na kuna kila dalili za kuikosa pia michuano ya Euro 2020.
 
Back
Top Bottom