Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Solskjaer, ambaye usiku wa kuamkia leo Ijumaa aliiongoza timu yake kwenye pambano la Europa League dhidi ya Club Brugge, alisema: “Marcus (Rashfor) atakuwa nje kwa miezi kadhaa.
Wakati wake ilikuwa haina mfano kwa uzuri
Pendeza...
Kajamaa kamenenepa....dalili ya mshiko mkubwa