Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Alligators have permanently erect penises.
#Animals
#Animals
Ankoo...
Tujaribu kuzijali hisia za mtu,wengine ni tiba zetu kwa kuziangalia picha za wanyama, milima, maji ( moudgulf). Maneno ya faraja kama:- usiku wa uji, poleni wasafiri, usiku wa pipi ( myoyambendi).Mambo ya habari mchanganyiko hasa burudani na mitindo ya kunyoa kiduku,kipara mzunguko sehemu za siri,matumizi ya konokono, mlonge ( binti mpole).Mambo ya picha za wasichana wazuri na warembo wenye staha ( Mpendwa na Beef Lasagna).Tukiitwa na tusipo itika kutwangwa shwaini wote ( Khantwe).Sasa hizi starehe za madude dude ya haja yenye kuleta tiba ya ubongo ulio changanyikana kwa vurugu za mabinti wembamba ( kivuruge) naomba mtuachie... mfilisti, ho chi minh, SHIMBA YA BUYENZE au hata mimi niwemo tu, mtuachie tuinjoike... View attachment 1364590
Sent using Jamii Forums mobile app