Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umetoka mbali ya wapi bro?Hahah! Tumetoka mbali sana bro, sasa hapo utakuta mshindi anatangazwa kwa mbwembwe zote
Ka-Davet katakuwa kababu kaongeza chumvi kila stori... Hiyo ya Burigi atasema alishiriki kuwakaba shingo twiga ili warudi Arusha ila afande alimpiga risasi ikamkuta kwenye kucha, akaachia kabari....Sipati picha atakavyokuwa anasimulia wajukuu zake kuhusu ishu za Chattle na hifadhi ya Burigi [emoji16][emoji16][emoji16]
Haukumshitukia alivyo jishirikisha? Yaani hapo kajiingiza hata kwenye mafoleni ya barabarani kumsubiria mtukufu rais apite kijijini kwao [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Umetoka mbali ya wapi bro?
Mbali ya 2002? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna
Halafu katasema eti kalikuwa kanaharakati hatari enzi zake na kalipambana dhidi ya nduli kufa na kupona. Kumbe kamba tu [emoji16][emoji16][emoji16]Ka-Davet katakuwa kababu kaongeza chumvi kila stori... Hiyo ya Burigi atasema alishiriki kuwakaba shingo twiga ili warudi Arusha ila afande alimpiga risasi ikamkuta kwenye kucha, akaachia kabari....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna
Alahamdullah wa afya tele.[emoji23][emoji23]mzima
Kuna siku mwaka 1968 tulijipanga barabarani wanakijiji wote tukimsubiria Kawawa apite. Akaja kupita jioni saa 11 hata kwenye gari hakushuka. Watu walizimia siku hiyo kwa sababu ya jua halafu akapita anapinga mkono tu kwenye dirisha la gari. Sitaisahau siku hiyo aisee....Haukumshitukia alivyo jishirikisha? Yaani hapo kajiingiza hata kwenye mafoleni ya barabarani kumsubiria mtukufu rais apite kijijini kwao [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app