Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahahah! Nyie Wahenga wa vitabu vya historia nyieHaukumshitukia alivyo jishirikisha? Yaani hapo kajiingiza hata kwenye mafoleni ya barabarani kumsubiria mtukufu rais apite kijijini kwao [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu katasema eti kalikuwa kanaharakati hatari enzi zake na kalipambana dhidi ya nduli kufa na kupona. Kumbe kamba tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kwenye stori za mademu ndo sipati picha. Wajukuu mpaka watachanganyikiwa utafikiri wanasoma uzi wa kula tunda kimasikhara [emoji16][emoji16][emoji16]