Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20200220-142306-picsay.jpeg
 
Naukumbuka huo mwaka vizuri ankoo, si ndio ule mwaka wa mahindi ya Yanga ehh?

Tulikuwa tunajipanga foleni kukagawiwa yale mahindi ya njano!!
Ona sasa...

Unga wa yanga ilikuwa juzi juzi hapa njaa ya mwaka 1974/5 baada ya vuguvugu la vijiji vya Ujamaa. Watu walihamishwa hovyo hovyo tu hata hawakulima matokeo yake kukawa na njaa kali sana. Isingekuwa watu wa Marekani kutuletea huo unga wa kulishia mifugo huko kwao sijui ingekuwaje.

Gob bless America [emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom