Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] kabisaaaaEnzi zenu fulu magome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Roho yake mtunzi ipumzike mahali pema peponi.Gamba la Nyoka na mwenyewe gwiji Euphrase Kezilahabi. Padri Madevu na Mama Tinda mjane....
Vijiji vya ujamaa utekelezaji wake ulikuwa wa hovyo. Na kwenye Gamba la Nyoka umeelezwa kisanaa kwa uwazi sana...
Uko Dubai mpendwa maana unaijua hadi mitaa 😀😀Yaani yalikuwa mawazo tu yamegongana mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa Tabata ya Dubai ningeitamka Al'tabatah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote ni wazima ndugu yangu. Tuna pambana...[emoji2][emoji2][emoji2]
Huku kwema ankoo, tunamshukuru Mungu.
Huko vipi ankoo? ndugu zangu hawajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😂😂😂😂 Kizazi cha Yope