Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona sasa...

Unga wa yanga ilikuwa juzi juzi hapa njaa ya mwaka 1974/5 baada ya vuguvugu la vijiji vya Ujamaa. Watu walihamishwa hovyo hovyo tu hata hawakulima matokeo yake kukawa na njaa kali sana. Isingekuwa watu wa Marekani kutuletea huo unga wa kulishia mifugo huko kwao sijui ingekuwaje.

Gob bless America [emoji1545][emoji1545]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Nilijua tu ntapata reaction kutoka kwa bro
 
Ona sasa...

Unga wa yanga ilikuwa juzi juzi hapa njaa ya mwaka 1974/5 baada ya vuguvugu la vijiji vya Ujamaa. Watu walihamishwa hovyo hovyo tu hata hawakulima matokeo yake kukawa na njaa kali sana. Isingekuwa watu wa Marekani kutuletea huo unga wa kulishia mifugo huko kwao sijui ingekuwaje.

Gob bless America [emoji1545][emoji1545]
Vijana hawataki kujisomea hawa...
IMG_20200221_165818.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom