Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Lemons contain more sugar than Strawberries.
#Foods
#Foods
Wapi hiyoo... Safii
Naingia gym leo leo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]For every 35 pounds an overweight man loses, his penis appears to grow 1 inch.
#Health
Kwa mbwembwe zote? Siku hiyo ni sherehe ya kitaifa hakuna kwenda job...Hahah! Tumetoka mbali sana bro, sasa hapo utakuta mshindi anatangazwa kwa mbwembwe zote
Huu utakua ni ugonjwa
🤣🤣🤣🤣Naingia gym leo leo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Madaraka matamu sana, mtu unatembea na msafara mzito, walinzi 24'7, kila kona habari ni wewe tu, mpini umeshika wewe alafu atokee mtu kuonyesha tishio la kukuondoa ulipo. Kama una Moyo mgumu lazima umfunze adabuKwa mbwembwe zote? Siku hiyo ni sherehe ya kitaifa hakuna kwenda job...
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama
Nyerere Oyeeeee !!!
Sokoinne alikuja akaanza kuwa mashuhuri na kupendwa zaidi mpaka akaanza kuonekana tishio...kilichompata anakifahamu mwenyewe !!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahah! Tumetoka mbali sana bro, sasa hapo utakuta mshindi anatangazwa kwa mbwembwe zote
Sipati picha atakavyokuwa anasimulia wajukuu zake kuhusu ishu za Chattle na hifadhi ya Burigi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ankoo... Wewe haumo kwa watu walio toka mbali.
Wewe utakuja kusimulia mengi yamhusuyo "Vasco da Gama" na "mkoromije" miaka ishirini ijayo... Kwa sasa tuacheeee
Sent using Jamii Forums mobile app