Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni rahisi sana hapa, kila mtu anapost apendacho hata mtu akikuuliza si kwa ubaya kiasi tufike hadi kuambiwa tubonyeze ignoa listi[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa; mbona umemaindi sana jibu langu kuliko hata niliyemjibu?

Ndiyo. Mtu kama anaposti vitu ambavyo vinakukwaza, njia rahisi ni kumtia katika iginoa listi tu mpaka atakapojirekebisha na kuanza kuposti vitu unavyotaka wewe. Tatizo liko wapi?

#UhuruNiGhali
#TuambianeUkweli
 
Wachezaji wakongwe waliounda ukuta mgumu wa Simba na timu ya taifa miaka ya 1991, 92,93,94,95,96,97,
George Magele Masatu, kushoto na Fikiri Mohamed Magoso, walipokutana Uwanja wa taifa kwenye moja ya mechi ya Simba hivi karibuni
FB_IMG_1582137535168.jpeg
 
Back
Top Bottom