moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndio maana alikua hapatani na mzee wa kumpinga Nduli
Ndio maana alikua hapatani na mzee wa kumpinga Nduli
Mbona alikuepo sana kabla na baada ya post ya M ata hiyo story alitoa baada ya post ya M
Umesoma alichouliza hawachi na yeye alichokijibu?Mbona kawaida tu , hiyo lugha ina ukali gani mtakatifu?
Samahani nimedandia treni
Itakua tunatofautiana mitazamo rafiki yangu ila hii kitu ipo simple tu.....Umesoma alichouliza hawachi na yeye alichokijibu?
Si busara..
Ni mtazamo wangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah!Nadhani alikuwa anatamani hata hapa wamwagiane povu, ni vile tu vigezo na masharti vya uzi huu haviruhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo,tunatofautiana mitazamoItakua tunatofautiana mitazamo rafiki yangu ila hii kitu ipo simple tu.....
wanaharakati wenye itikadi tofauti lazima wasielewane
Vipi lakini uzima na amani vipo?
Hahah mimi sina story broWalitumia mafichoni kama chooni au walitumia huku wanaiwaza sana, mara nyingi mazingira kama hayo ndio huwa yanawaachia watu story za kufurahisha....
Vipi na wewe story yako ipoje? [emoji2]
Naaminia uwezo wako bro, hakika huwezi kua na story ya ajabu 😀Hahah mimi sina story bro
Vipi lakini uzima na amani vipo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unazingua
Pia nashukuru Mungu ananisimamia vyema