ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
🤣🤣🤣🤣🤣 UnazinguaMzee unafurahi kama upo na Camila pembeni[emoji2][emoji2]
Khaa mimi ndio najifungia sio wewe?Unajifungia sana Khantwe, usijifiche sana
Mimi huyu huyu? Sijamaindi wala, samahani kama comments zangu zimekukwazaMpendwa; mbona umemaindi sana jibu langu kuliko hata niliyemjibu?
Ndiyo. Mtu kama anaposti vitu ambavyo vinakukwaza, njia rahisi ni kumtia katika iginoa listi tu mpaka atakapojirekebisha na kuanza kuposti vitu unavyotaka wewe. Tatizo liko wapi?
#UhuruNiGhali
#TuambianeUkweli
DuhNilipumzika? Nimeanza tena? Mimi huyu?
Mimi niko huru kabisa kabisa. Naweka cho chote ninachotaka (ali mradi hakivunji sheria. Na kama kinavunja sheria unawaambia mods wanakitoa + ban + iginoa listi). Hakuna anayenifahamu hapa na sina heshima ya kulinda. Nyinyi mnaoogopa kujivunjia heshima ndiyo inabidi muwe waangalifu ...na utakatifu wenu...
Pole kama umekwazika [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nitajitahidi DAsante D ila usipotee sana
Oh!Nilipumzika? Nimeanza tena? Mimi huyu?
Mimi niko huru kabisa kabisa. Naweka cho chote ninachotaka (ali mradi hakivunji sheria. Na kama kinavunja sheria unawaambia mods wanakitoa + ban + iginoa listi). Hakuna anayenifahamu hapa na sina heshima ya kulinda. Nyinyi mnaoogopa kujivunjia heshima ndiyo inabidi muwe waangalifu ...na utakatifu wenu...
Pole kama umekwazika [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kwani amekwambia Kama vinamkwaza?Mpendwa; mbona umemaindi sana jibu langu kuliko hata niliyemjibu?
Ndiyo. Mtu kama anaposti vitu ambavyo vinakukwaza, njia rahisi ni kumtia katika iginoa listi tu mpaka atakapojirekebisha na kuanza kuposti vitu unavyotaka wewe. Tatizo liko wapi?
#UhuruNiGhali
#TuambianeUkweli
Camilla?!! Unaijua hiyo riwayaMzee unafurahi kama upo na Camila pembeni[emoji2][emoji2]
Kweli elimu haina mwisho 😀 😀Don't ask your girl where she wants to eat. Instead, tell her to guess where you're taking her to eat. Then take her to the first guess.
#Tips
Mbona kawaida tu , hiyo lugha ina ukali gani mtakatifu?Kwani amekwambia Kama vinamkwaza?
Umetumia lugha Kali Sana...
Samahani nimedandia treni mbele [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua poa sana DNitajitahidi D
😂😂😂😂😂 Dah!Kweli elimu haina mwisho 😀 😀
Bado najifunza bro. ningendako amegoma kunipatia past papers.
#nahisiAlimpaMfikisti