Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Dah [emoji2][emoji2][emoji2]
Ndio naijua Depal, unaipenda eehCamilla?!! Unaijua hiyo riwaya
HahahahKweli elimu haina mwisho 😀 😀
Bado najifunza bro. ningendako amegoma kunipatia past papers.
#nahisiAlimpaMfikisti
Bro, kijiti hakitabiriki [emoji2]Naaminia uwezo wako bro, hakika huwezi kua na story ya ajabu [emoji3]
Stella, haujambo?
Wakati mwingine kupotezea na kuacha mambo yakapita kama yalivyo pia ni busara hata kwa wenye busara kama wewe.Umesoma alichouliza hawachi na yeye alichokijibu?
Si busara..
Ni mtazamo wangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nisikujibu pulizi[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwani amekwambia Kama vinamkwaza?
Umetumia lugha Kali Sana...
Samahani nimedandia treni mbele [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaWakati mwingine kupotezea na kuacha mambo yakapita kama yalivyo pia ni busara hata kwa wenye busara kama wewe.
Karibu tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]