Wewe mwenyew upo mtandaoniNimeamini...! mtu anayeshinda mitandoni kwenye maisha hakuna la msingi analolifanya... Kati ya saa 24 pengine anatumia masaa matano tu kwa siku kufanya mambo ya msingi,,, hii ni hatari kwa TZ ya viwonder
Hahqhhaa kumbe ni wakimya kimyaMkuu kumbe nawe ulikuwa unanyapia nyapia[emoji23] [emoji23] [emoji23] nina mmoja tena mmoja tu,namaanisha nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmejiandaaje?Twende tukaone nyati
Viko bandarini huko havina mwenyewe!Twende tukaone vichwa vya treni
Alikuwepo mida flani hivi nahisi katingwa na majukumuMyoyambendi leo sijui yuko wapi leo. Ndiyo kazi yake hii kukumbushia kumbushia!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchangamkie ile fursa mana kaparo na yeye hayuko nyuma[emoji23] [emoji23]
Like = CommentComment = like
Impossible...Yote yatakayojiri nijulisheni
Kwani shughuli ya kumuona nyati ni pevu?Mmejiandaaje?
Nakuona ujueMwache anywe maji ya moto kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie mzima,Hahaha...kumbe upo! Mzima weye!??
Asante..ila sifa hizi hazitakuacha salama.....lol!!Hiyo nguo imekutoa vizuri hadi bas, yan ka malkia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hautafika popote unless mabinti wote waondoke [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
We nae utaki nipaki mpweke
Nakuona ujue
Wengine umewatimizia malengo yao? Umefokasi kutongoza wake za watu humu may be ndo sababu malengo hayatimii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malengo yangu ya like 700 hayajatimia...!!
HewallahMbona unaguna mkuu? Si Baby S wako huyo ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Buyenze bhana watu wanalia chumviKwa hali ya sasa kula ni lazima. Hata usipomla mijibaba midowezi itamtafuna tu. Ni yale yale ya wewe wasubirisha embe liivie mtini, wenzio wanalila kwa chumvi!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimemuita tu mimi saiv gumoyo gunadunda kwa Cole Williams tu hamna mwingine