Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Afadhali na wewe umeonaMashaAllah
Hahah!
Kuuliza tu jinsia ya mtu tayari ni Abuse mzee.......Naogopa kuabuse
Hahah! Tena wengine wahenga
[emoji3][emoji3]
Kazi kweli kweliView attachment 1366387
Vita nzuri ni ile ya kupambana kimya kimya kwa nini asishirikishe wanasheria kwa hili ameamua kubweka kwenye mitandao.
Unataka kusema huyu ni wa kutoka kule "Wakiwaga wanaongea wanaongea kama wanataka kupigana"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi humu nani ke nani me? ?
Ngoja aombwe na ya kutolea na MeHahah! Labda anatafuta Mke/mume kwenye uzi wa likes