Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasitoane roho kwa mali ambazo wataziacha.
 
Moud???
Usinifanye nikomae nae usiku kucha anipe picha yake[emoji2960].
Kwa hiyo wewe Davet hutaki kutengua kauli yangu?Ni kweli huyu dogo hamtaki kumpinga kwa kutuma picha zenu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ile siku Moud kaweka picha yake hapa kisha akaitoa haukuwepo? Komaa nae mpaka kieleweke ....

Hahah! Hii mbinu unayotumia kupata picha za kina Ninge 😁😁
 
Hivi moud alishaweka picha humu?
MOUD kabisa uliweka ukatoa Mimi sijaona??
Kwa hiyo mnakubali kuwa huyu Mtoto anawazidi wore??

Hembu kuweni siriasi Basi[emoji23][emoji23]
Kwani ile siku Moud kaweka picha yake hapa kisha akaitoa haukuwepo? Komaa nae mpaka kieleweke ....

Hahah! Hii mbinu unayotumia kupata picha za kina Ninge [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi moud alishaweka picha humu?
MOUD kabisa uliweka ukatoa Mimi sijaona??
Kwa hiyo mnakubali kuwa huyu Mtoto anawazidi wore??

Hembu kuweni siriasi Basi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Anne unapitwa sana jamani, usiwe unapotea sana hapa ndani..

Mimi nimeleft kwenye hayo mashindano wacha tuwasubiri kina Bradha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…