Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Inaonyesha jinsi gani alikua mdau kindaki, kumbuka yale maneno ya Sugu kuhusu "kijiti" kwenye ngoma ya Sugu moto chini utagundua mzigo una kitu ndani yakeAisee hadi kufikia kupewa jina la utani kabsa[emoji2][emoji119]
Stella kwenye ubora wakeMpendwa huyu Mtoto Ni mzuri jamani..sijui wengine wanamuonaje ila Mimi naona mzuri Sana pengine kuliko wanaume wote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapema sana namuona kawahi, tatzo mhusika kafuchomesha hapa[emoji16]Haha asee, mzee mwenzako naona amewahi siti ya mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa hilo jibu " i'll let you k(NO)w[emoji12]
Duh! Hapa kwetu ilishafutwa hiyo dawa
Sawasawa
Wasitoane roho kwa mali ambazo wataziacha.
Usiku wa kula
Komaa na huyo anaekuambia kwamba jamaa anayo sura ya mama [emoji2]
Mwanaume akiwa hivi aibu hata kufatana nae njiani [emoji3][emoji3]
Kwani ile siku Moud kaweka picha yake hapa kisha akaitoa haukuwepo? Komaa nae mpaka kieleweke ....
Hahah! Hii mbinu unayotumia kupata picha za kina Ninge [emoji16][emoji16]
Hatari ilikuwa...View attachment 1366363
Nipo mpendwa