Sawa mpendwa
Unaweza kuongezea akawa mke wa nne
[emoji2][emoji2]
Akili za hacker hizi baeSioni haja ya wewe kuongeza mwingine
Weka yako bila emoji nikupe ya moudJamani[emoji24][emoji24][emoji24]
Niwekeeni picha zao na Mimi nione
Sent using Jamii Forums mobile app
Panda cheo bana, kwanini usipande cheo?😀😀Sioni haja ya wewe kuongeza mwingine
Mtani, upo?Weka yako bila emoji nikupe ya moud
Shwari, mambo ni vipi?
Kumbukumbu zako nzuri...Asante MwalimuSwalama kabisa, umenikumbusha mbali sana.
Mpendwa jina lako limenikumbusha mbali mnoNaona mmesahau ku-like.... Nikumbukeni bs
Mpendwa habari za kiembe mbuzi?Mpendwa jina lako limenikumbusha mbali mno
Nipo mtani,habari ya jumapiliMtani, upo?
Nzuri mpendwa za kuadimika,kiembe mbuzi nimehama niko buzaMpendwa habari za kiembe mbuzi?
Njema kabisa, za kupoteana?Nipo mtani,habari ya jumapili
Njema tuu.Nzuri mpendwa za kuadimika,kiumbe mbuzi nimehama niko buza
Mwalimu wa nini ?Kumbukumbu zako nzuri...Asante Mwalimu