Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hivi ni "Kiumbe Mbuzi" au "Kiembe Mbuzi" ipi sahihi hapo ?Nzuri mpendwa za kuadimika,kiembe mbuzi nimehama niko buza
Sio pazuri sana uswahilini kwetuNjema tuu.
Sawasawa, natumai umehamia pazuri zaidi.
Mwalimu wa nini ?
Mpendwa wewe hujawahi kukosea simu yangu ina kawaida ukiandika neno yanatokea maandishi mengi yenye kuendana na ninalo hitaji niwe makini kuweka nimekosea.Hivi ni "Kiumbe Mbuzi" au "Kiembe Mbuzi" ipi sahihi hapo ?
Sio kweli, ungesema "Mtaalamu wa Hati" hapo sawa.Mataalam wa namba
Nawe pia mpendwaHaya bana ....
Jioni njema.
Sio kweli, ungesema "Mtaalamu wa Hati" hapo sawa.
Ndio maana nikauliza, nikajua wewe unajua zaidi katika hili bibie.Mpendwa wewe hujawahi kukosea simu yangu ina kawaida ukiandika neno yanatokea maandishi mengi yenye kuendana na ninalo hitaji niwe makini kuweka nimekosea.
Ahsante.Nawe pia mpendwa
Hii mitandao ya ajabu sana.Jifiche...ila ushatambulika.
Hii mitandao ya ajabu sana.
Usipokuwa na msimamo unalivaaga unahisi mtu anakujua kumbe anacheza na akili, ukiingia tu amekunasa.
Mimi sio mwalimu aisee.
Likes tatu hapo "chap".