Sitoi nini ?Mbona hutoi?
Sitoi nini ?Mbona hutoi?
Huyu wewe sio ?
Muone 😀😀😀Panda cheo bana, kwanini usipande cheo?😀😀
HapanaHuyu wewe sio ?
Weka yako bila emoji nikupe ya moud
Kgothalo Kgothalo😀
Sitoi nini ?
Nikajua wewe, maana nimekufananisha.Hapana
Unayataka mapendo toka kwangu sio ?Mapendo
Unayataka mapendo toka kwangu sio ?
Wewe si mke wa mtu humu ndani ?
Huogopi madeni ?
Itabidi niwe nakufata nje ya huu uzi, yaani nikikukuta nje ya huu uzi nakupa mapendo yangu tu.Nikitoka nje ya huu uzi nakuwa mwenyewe
Itabidi niwe nakufata nje ya huu uzi, yaani nikikukuta nje ya huu uzi nakupa mapendo yangu tu.
😂😂😂😂 eti humtaki alikunyanyasaHuyu moud simtaki
Alishaninyanyasa huyu..mwana liva mwwnzangu ila anashabikia Simba maboya wale[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti humtaki alikunyanyasa