moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Itakua ni msongo wa mawazo ndio umepelekea haya. Inasikitisha![]()
TANZIA - Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...www.jamiiforums.com
Nyuzi nyingi alizoanzisha kakejeliwa hadi sio poa. Inaumiza sanaItakua ni msongo wa mawazo ndio umepelekea haya. Inasikitisha
M.A.P