Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika mchezo huo PSG ilikuwa nyumbani kwenye uwanja wao wa Parc des Princes, walianza kutanguliwa dakika ya 18 na Bordeaux walipata bao lao la kwanza kupitia kwa Hwang Ui-jo.
Nimeona nyuzi zake nyingi za malalamiko juu ya maisha na humu wadau lazima wakukashifu tu ilimradi na yeye kachangia mada....Nyuzi nyingi alizoanzisha kakejeliwa hadi sio poa. Inaumiza sana
Ndo maana nimeokoka siku hizi,nimepunguza kashfa kasoro kwa messi[emoji2] na domo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chagua kati ya Leo na kanye nani zaidi?Nimeona nyuzi zake nyingi za malalamiko juu ya maisha na humu wadau lazima wakukashifu tu ilimradi na yeye kachangia mada....
Mpumzishe basi King Leo baki na huyo mtoto wa Tandale
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chagua kati ya Leo na kanye nani zaidi?
Huyu kijana alikuwa na changamoto nyingi [emoji24][emoji24]![]()
TANZIA - Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...www.jamiiforums.com
![]()

Nyuzi nyingi alizoanzisha kakejeliwa hadi sio poa. Inaumiza sana
Ndo maana nimeokoka siku hizi,nimepunguza kashfa kasoro kwa messi[emoji2] na domo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ee ila yakiwakuta ntawapa poleKwahiyo wawili hao utawakashifu kila unapojisikia?