Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PSG ilibidi watumia nguvu ya ziada na hatimaye wakapata mabao mawili kabla ya kwenda mapumziko ambayo yalifungwa na Edinson Cavan na Marquinhos, Bordeaux hawakuwa nyuma nao wakakomboa kupitia kwa Pablo na kwenda mapumziko matokeo yakiwa sare ya mabao 2-2.
 
Mambo hayakuwa magumu kwa PSG katika kipindi cha pili kwani walijipatia mabao mawili ya haraka katika dakika ya 63 na 69, yaliyofungwa na Marquinho na Kylian Mbappe, Bordeaux walipata bao lao la tatu dakika ya 83, lililofungwa na Pardo Ruben.
 
Nyuzi nyingi alizoanzisha kakejeliwa hadi sio poa. Inaumiza sana

Ndo maana nimeokoka siku hizi,nimepunguza kashfa kasoro kwa messi[emoji2] na domo
Nimeona nyuzi zake nyingi za malalamiko juu ya maisha na humu wadau lazima wakukashifu tu ilimradi na yeye kachangia mada....

Mpumzishe basi King Leo baki na huyo mtoto wa Tandale
 
Huyu kijana alikuwa na changamoto nyingi [emoji24][emoji24]

Maskini ameamua kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…