Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
[emoji23] [emoji23] usijari shimba niko kwa ajili yakeCole kateswa mno hapa jamani. Naona alipenda asipotakiwa. Kashusha paraboz mpaka akapata Malaria. Mtunze ili apoze machungu yake. You make a wonderful couple!
Mali huku kwetu wanasema usingizi ni umaskini
Kila jambo na wakati wake!Don't talk, act. Don't say, show. Don't promise, prove.
Mkuu acha tu ni makosa yangu maana nilijenga empire kubwa kwenye moyo wa carbamazepine nashangaa shetani huyuKichwa Kichafu huyu dah!
Sambaza likes pata likesKichwa kichafu kaachiwa uzi ausimamie[emoji38] [emoji38]
Kidogo nimepata zana za kilimo na kuangalia wanyama sasa hivi tayari nipo Ikwiriri.Gud....sherehe imeendaje!? Nina salam zako...
Lazima atabargain....hahahahHaya. Kwa Sammyluv nilimgonga QUIGLEY ng'ombe 65. Mwambie aandae ng'ombe si chini ya 50...
Ha ha ha ha ha [emoji17] [emoji18]Kuleni. Kwani mmekatazwa?
Tupo tu wq hapa hapaAsante Kichwa Kichafu.....nawaona...