Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Available
Kwahiyo mpendwa unataka kuniaminisha kwamba upo juani sasa hivi?
Naweka picha kama ushahidi mpendwa [emoji3][emoji3]
Jamani moud nisubiri hadi jmosiNakualika kwenye sherehe ya kukata keki ya pili leo jioni kwenye viunga vya jiji la Dar kusherekea BD yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa gani huko bro?Bro karibu kwenye chimbo langu tuchumie juani kisha jioni tukajipoze na soda
Sent using Jamii Forums mobile app