Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nipo Kariakoo natembeza karanga na naziKwahiyo mpendwa unataka kuniaminisha kwamba upo juani sasa hivi?
Nipo Kariakoo natembeza karanga na naziKwahiyo mpendwa unataka kuniaminisha kwamba upo juani sasa hivi?
Hahah! Mungu anakuona ujueNipo Kariakoo natembeza karanga na nazi
Fresh sana mzee, naona mfumo bado haujatulia
Wazee wa kujimaliza View attachment 1369500
Kwani hukumuona vile kazungukwa na Msitu wa walinzi wa5?
Naona ata tukikutana na timu inadefance zaidi tunapata tabu kutoboa ngome ya mpinzani, naona itafutwe mbinu juu ya hili tatizo maana timu nyingi tunakutana nazo game plan yao inakua ni defensive huku wakitumia counter attackTunahitaji Defense Flani hivi Solid sana Beki ndiyo kikwazo kikubwa
😃 Huyu binti anao ushabiki maandazi sanaAnajifanya hajaona
Naweka picha kama ushahidi mpendwa 😀😀Hahah! Mungu anakuona ujue
Weka picha kwakweli 😃Naweka picha kama ushahidi mpendwa 😀😀