Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Unaenda wapi?Ningekuambia uje huku Jumamosi ila sitokuwepo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Picha ushawekewa?
Yaani nijitoe kimasomaso kuja Hadi huko halafu nidhamini Tena show[emoji134]
Basi siji
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti *mwaya*
Mvurugaji mkubwa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mvurugaji
Hakuna mtu humu ndani anapenda mafanikio yako kama mimi
What[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Saint Anne tunapishana sana, naona umepotea sasa
πππ mara ngapi tena tupate hayo majibu?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ee
Wewe Ni wa kunifanyia hivyo?Bado upo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rede ilikua inanoga pale tunapovaa pichu mpya yaan utarusha nguo makusudi ili mradi mashosti waone[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
umenikumbusha zamani nilivyo kuwa napenda kucheza REDE na wadada... Kurusha mpira nilikuwa narenga usawa wa mapaja, mdada anaruka anatanua miguu, hapo ndani hajavaa kitu.... Sijui lengo langu ilikuwa nione nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi davet una majibu gani?[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2] mara ngapi tena tupate hayo majibu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah sasa kwa messi naona kitu tofauti kwa hao wadada sion cha tofautiLadha yake ipo yakitokea kama yale ya Messi kuvutwa short
[emoji2][emoji2][emoji2] mara ngapi tena tupate hayo majibu?