myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakulima poleni sana
nimeshawadanganya watu humu ndani ya kwamba mimi ni:
siku watakayojua ya kwamba kumbe ni uongo si nitadhalilika mjinga mimi
- mkorea
- handsome boy mwenye dimples kuliko vishimo vya kuchezea gololi
- tajiri wa fedha na magari
- situmii chakula aina ya sembe
- mwanaume virgin
- degree 3
- I speak inglishi rmore than michelle obama mwanamke
Same hopes mzeeBinafsi sina shaka na uwezo wako naamini First leg tu imeisha second leg itakuwa kukamilisha Ratiba tu [emoji23][emoji23]