Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
nimeshawadanganya watu humu ndani ya kwamba mimi ni:
  1. mkorea
  2. handsome boy mwenye dimples kuliko vishimo vya kuchezea gololi
  3. tajiri wa fedha na magari
  4. situmii chakula aina ya sembe
  5. mwanaume virgin
  6. degree 3
  7. I speak inglishi rmore than michelle obama mwanamke
siku watakayojua ya kwamba kumbe ni uongo si nitadhalilika mjinga mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulima poleni sana
Asante ndugu
FB_IMG_1582699879256.jpeg
 
Back
Top Bottom